Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula ngumi si mchezo.. Sikutegemea Ruiz kua mkali vile. Ninavyoona hapa pambano limepangwa kabisa, this is business wazee wa boxing, boxing ya sasa ni imekaa kibiashara zaidi.. kipesa zaidi... nazimisi boxing za zamani mtu unapigwa hadi unachanika chanika uso, boxing ilikua kwa ajili ya reputation na heshima, naliona pambano la marudiano lipo njiani..watu watatu watahusika hapa..Joshua, Ruiz, na Wielder.
Anyway, Ruiz kwa sasa kwenye akaunti yake amekwishawekewa shilingi za kitanzania Bilioni 15, kwa kupigana na kushinda pambano lake MOJA TU. Joshua pamoja na kupigwa atapewa kifuta jasho cha Bilioni 52 za kitanzania kwa PAMBANO MOJA TU.
Asanteni kwa kunisikiliza.