zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hao nao waache upumbavu kwani kuna uhusiano gani kati ya ushoga/jinsia na performance uwanjani?? Kuna wacheza soka,wanajeshi,wanasiasa wangapi ni mashoga ila wanapiga kazi efficient kuliko hata straight men. Wasitafute vichaka mbona klitschko na ubabe wote ule alipigwa knockout ndio sembuse huyu bishoo wa kiingereza!!Kuna mahali nimesoma eti wanasema jamaa kujiingiza kwenye mahusiano ya jinsia moja kunamuharibu
Hicho kigazeti kimenikera sana!!