Siamini kama Joshua amepigwa ila pesa waliyolipwa si mchezo

Siamini kama Joshua amepigwa ila pesa waliyolipwa si mchezo

Kuna mahali nimesoma eti wanasema jamaa kujiingiza kwenye mahusiano ya jinsia moja kunamuharibu
Hao nao waache upumbavu kwani kuna uhusiano gani kati ya ushoga/jinsia na performance uwanjani?? Kuna wacheza soka,wanajeshi,wanasiasa wangapi ni mashoga ila wanapiga kazi efficient kuliko hata straight men. Wasitafute vichaka mbona klitschko na ubabe wote ule alipigwa knockout ndio sembuse huyu bishoo wa kiingereza!!

Hicho kigazeti kimenikera sana!!
 
IMG_5539.JPG
 
Sijawahi kumuona akipigana, Ila kwa jinsi alivyopigana hili papmbano alistahili kupigwa, na kama ndivyo anavyopigana basi halitendei haki umbo lake, na ataendelea kupigwa akikutana na mabondia wajanja kama huyu Mexico.
 
Huyo ndio Andy Ruiz Jr.mpambanaji kutoka Mexico. Bora afe ulingoni kuliko kupigwa.aje walder,aje fury na ata Ortiz wote tutawakalisha
 
Back
Top Bottom