M mwalimu wenu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 203 Reaction score 19 Mar 31, 2014 #1 Nawatakieni kila la kheri walimu wenzangu ambao mnaanza kuripoti kesho.Tutaonana hukohuko endapo TAMISEMI watatufikiria awamu ya pili.
Nawatakieni kila la kheri walimu wenzangu ambao mnaanza kuripoti kesho.Tutaonana hukohuko endapo TAMISEMI watatufikiria awamu ya pili.
J J'MWA Member Joined Nov 1, 2013 Posts 51 Reaction score 5 Apr 1, 2014 #2 mwalimu wenu said: Nawatakieni kila la kheri walimu wenzangu ambao mnaanza kuripoti kesho.Tutaonana hukohuko endapo TAMISEMI watatufikiria awamu ya pili. Click to expand... usijali mkuu! hiyo ipo na makosa kama hayo sio mwaka huu tu! ukiangalia hata mwaka jana na kuendelea huko nyuma makosa haya yalifanyika. ila baada ya muda mambo yakawa mazuri watanzania wazalendo wakaingia mzigoni
mwalimu wenu said: Nawatakieni kila la kheri walimu wenzangu ambao mnaanza kuripoti kesho.Tutaonana hukohuko endapo TAMISEMI watatufikiria awamu ya pili. Click to expand... usijali mkuu! hiyo ipo na makosa kama hayo sio mwaka huu tu! ukiangalia hata mwaka jana na kuendelea huko nyuma makosa haya yalifanyika. ila baada ya muda mambo yakawa mazuri watanzania wazalendo wakaingia mzigoni
ledman Senior Member Joined Feb 6, 2014 Posts 103 Reaction score 7 Apr 1, 2014 #3 Jamani pole usijali Mungu ni mwema atafanya njia wakati utafika tu
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,858 Reaction score 23,768 Apr 1, 2014 #4 ah! Pole sana.