Siamini kama kesho na mimi ningekuwa naripoti.

Siamini kama kesho na mimi ningekuwa naripoti.

mwalimu wenu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
203
Reaction score
19
Nawatakieni kila la kheri walimu wenzangu ambao mnaanza kuripoti kesho.Tutaonana hukohuko endapo TAMISEMI watatufikiria awamu ya pili.
 
Nawatakieni kila la kheri walimu wenzangu ambao mnaanza kuripoti kesho.Tutaonana hukohuko endapo TAMISEMI watatufikiria awamu ya pili.

usijali mkuu! hiyo ipo na makosa kama hayo sio mwaka huu tu! ukiangalia hata mwaka jana na kuendelea huko nyuma makosa haya yalifanyika. ila baada ya muda mambo yakawa mazuri watanzania wazalendo wakaingia mzigoni
 
Jamani pole usijali Mungu ni mwema atafanya njia wakati utafika tu
 
Back
Top Bottom