Siamini kama leo mimi nimekuwa simple

Siamini kama leo mimi nimekuwa simple

Unatutia aibu!!!
FB_IMG_1716454685545.jpg
 
Kupenda 101% kunatesa sana.
Physical look ilikudanganya ukaweka high expectations na kwa jinsi alivyokuwa anakuaminisha ndio kwisha habari yako. Lower your expectations bro, usioneshe na usimpe upendo wote mwanamke atakutesa.
 
Kwema wakuu,
Yaani demu wangu kanisaliti na mtu mwingine. Yaani kakaza mpaka mi ndo imebidi niombe msamaha. Dah hatari sana kwakweli
Pole Sana mkuu mfate baba ako mpe hiyo taarifa alafu sikia atakwambia nini.

Ukiona kakwambia msamehe ujue hapo kakwambia wee ni mpuuzi.
 
Maneno ya wahenga, "ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani ".
 
Back
Top Bottom