Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Wewe ni mvulana siku ukiwa mwanamme huwezi kuomba msamaha mwanamme hata akikosea haombi msamaha kwa maneno bali kwa vitendo ukikosea unatoka unarudi umemnunulia mkeo nguo viatu n.k sio maneno matupu