Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

Mkuu naomba kilengeo chako nami nilenge...!!mtafute muhenga akupe ya kihenga..@guDume aka goodman
 
Kwel kla mbuyu una shetan wake ..hongera gudume kama na ww umepata na unaaga ukapera
 
Gudume msaada plz na mm nimpate miss natafuta japo uzoefu wa njia ulizotumia itafaaaaakweliiii
 
Kumpata Miss Natafuta nadhani inabidi hapo upate japo nafasi ya kuteta naye akwambia misimamo yake n.k mimi naweza kukupatia nafasi tu ya kuzungumza naye. Natumaini pia nawe lugha inapanda maana kuna wadada kama hujui lugha 5 za kimataifa huwez mpata.hakikisha umejifunza na sasa unajiamini kidume.
Gudume msaada plz na mm nimpate miss natafuta japo uzoefu wa njia ulizotumia itafaaaaakweliiii
 
Ongea naye kwa herufi kubwa kubwa navituo.usisahau kuweka mabano pia au kutumia parandesi.

Mamaaaaaa kumbe na ww unagegeda.miss natafuta?? Yaan hapa nlikua nshaanza kuwaza nije pm.ili tuone ka ungeweza kunkubalia na hatimae ubadili jina kua miss "Nimepata"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…