Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa ya kutangazana itabidi wenzio wakujue mana nina mababy humu mpaka wengine nimewasahau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naweza nikapokea vitisho
 
Hapo huoni kama ntampoteza? Maana amenipendea sounds zangu za kitaa.... Nikianza kuwa mlokole anaweza kunitosa... Amenipenda kama nlivyo mi msela....
[emoji23] hongera mkuu hatimae utaanza kuandika nyuzi zenye mantik
 
Back
Top Bottom