monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Si amempata Mama Sabrina au Dinazarde wa shinyanga! Unajua mtu kama GuDume ni kunguru hafugiki umri bado unaihitaji kutesti k za kila ainaEndeleeni kukulana tu jamani maisha yenyewe mafupi haya
Unamsingizia Miss Natafuta ! Hukumbuki Nyani Ngabu alimtema Nani? Hivyo ameamua kujishikiza kwa GuDumeHuyo ni Miss natafuta au Demiss hao chaote au mama wa huruma Jf...
Msinikoti please
kumbuka shunie!!Mweeeeh
Nilikutosa wapi mimi jaman mbona haya mapya kwangu
Kwani nyani ngabu ni kijana mwenzetu wa kiume au ni binti?Unamsingizia Miss Natafuta ! Hukumbuki Nyani Ngabu alimtema Nani? Hivyo ameamua kujishikiza kwa GuDume
Hayo yako! Mimi najua ni mwanaume tena rijali maana aliowakwida wanathibitisha hiloKwani nyani ngabu ni kijana mwenzetu wa kiume au ni binti?
Naona hadi wewe umethibitisha indirectHayo yako! Mimi najua ni mwanaume tena rijali maana aliowakwida wanathibitisha hilo
Jamani mbona nakumbuka kumbu kumbu hazijikumbuka shunie!!
mh,haya bhanaJamani mbona nakumbuka kumbu kumbu haziji
hahaaa maana sio kwaHongera sana huyoo bibie uliempata ni mwalimu wa kiswahili??
Mashavu yake yote ???!!!ndugu zanguni (leo hata namna ya kuwa address imebadilika) nashukuruni sana kwa kweli... mtoto kaumbika... mashavu yake yote yanaonekana kuwa na mvuto,sura ya yai,lips za mfuto na macho ya goroli. rangi yake ya chungwa lilioiva ... akiongea ni kama hataki maana anaweka vituo vyote kwa usahihi kabisa. kwa kweli... "mla mla leo ,mla jana kala nini?" nami nimejipatia mtoto mantashallah... allahamdullilah "kimfaacho mtu chake" maana msije waswahili mkaanza kusema oohh.. sijui ni na nini... gudume amekutana na maneno ya wahenga ya kuwa "subra yavuta kheri"
aiseeeee da Vince sikuhiz acc yako imedukuliwa !??Huyo ni Miss natafuta au Demiss hao chaote au mama wa huruma Jf...
Msinikoti please
acha hizo basiii ..hahaaNasikia ww ndii Gudume...
Si amempata Mama Sabrina au Dinazarde wa shinyanga! Unajua mtu kama GuDume ni kunguru hafugiki umri bado unaihitaji kutesti k za kila aina
Ebu anza tena jamanmh,haya bhana
Sawa rafiki. Uwahi njia ya msalaba leoNawatania tu rafiki Nisha wa apologize lkn..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo yako! Mimi najua ni mwanaume tena rijali maana aliowakwida wanathibitisha hilo
PM granted???Ebu anza tena jaman