Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

ndugu zanguni (leo hata namna ya kuwa address imebadilika) nashukuruni sana kwa kweli... mtoto kaumbika... mashavu yake yote yanaonekana kuwa na mvuto,sura ya yai,lips za mfuto na macho ya goroli. rangi yake ya chungwa lilioiva ... akiongea ni kama hataki maana anaweka vituo vyote kwa usahihi kabisa. kwa kweli... "mla mla leo ,mla jana kala nini?" nami nimejipatia mtoto mantashallah... allahamdullilah "kimfaacho mtu chake" maana msije waswahili mkaanza kusema oohh.. sijui ni na nini... gudume amekutana na maneno ya wahenga ya kuwa "subra yavuta kheri"
Mashavu yake yote ???!!!

aiiiiseeee kweli wakubwa mnafaidi
 
ndugu.. mimi umri wangu sidhani kama unanifikia. ila unapaswa tu uelewe ni mtu ambaye umri wangu umeenda sana sema sionikani kama umri umeenda sana sababu y amatunzo mazuri. nakula na kunywa vizuri. sina stress na sibebi chuki. nashiriki katika mazoezi n.k ila usije mkadhani mimi ni kama hut tuvijana tudo tudogo. mdogo wangu wa mwisho ana miaka 34. kidogo nadhani unaweza vuta picha.
Si amempata Mama Sabrina au Dinazarde wa shinyanga! Unajua mtu kama GuDume ni kunguru hafugiki umri bado unaihitaji kutesti k za kila aina
 
Ngoja weekend hii nivute 1M nimiliki mzigua90. [emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
inawezekana hata huu uzi umempa auedit, maana huu sio mwandoko wako kabisa.
 
Back
Top Bottom