Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

Hatujuani ila maandiko yako ndiyo yanaonyesha kama wewe ni mvulana au mwanaume
 
hahahaha kweli huyo angeniteka hata mm
 
Maisha mafupi kweli. Niko Juliana Mbezi Beach saa hii
Sure sure bestie... enjoy life to the fullest...." Maybe twaweza kutana hata leo nimekuja opposite hapa kupata mdudu mara moja.... ile sehemu uliyoniambia that day ndio nimeiona leo nilikuwa napapita daily
 
Heheheee. Umenikumbusha hapo. Wana samaki wao mmoja wanampika vizuri sana. Tunaweza kumbana nisipoboeka mapema huku nje maana mi nina gubu sikawii kuzira nikarudi kulala.
 
Heheheee. Umenikumbusha hapo. Wana samaki wao mmoja wanampika vizuri sana. Tunaweza kumbana nisipoboeka mapema huku nje maana mi nina gubu sikawii kuzira nikarudi kulala.
Karibu sana utanikuta hapa.... maana ndio inachomwa huko ndani thou utanikuta na jamaa zangu kadhaa...

Your warmly welcome ukija kuna heinken zako 4.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…