Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

Endeleeni kukulana tu jamani maisha yenyewe mafupi haya
 
Kwa kuwa na sisi tunatafuta humu humu, ni vizuri ungemtaja kama alivyofanya Mshana Jr ili tusije tukajikuta tunamuibukia shemeji yetu pm kwa kutojua[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Nikupe hongera,umetamka kuumaliza uhuni,ila tambua yeye hajatamka ila kila lakher
 
Umejitahidi na methali, ila umekosea tu kdg. "Jahili aachi asili" na sio"jasiri"...... Ukuukuu wa pamba, si upya ukambaa. Not mkambaa..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…