Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

ha ha ha... sister ako yeye anapenda tu kufanya hilo ila akiamua anaweza acha... wewe mlete kwangu nimfanyie counseling ... usimkatie tamaa hivyo. hakuna lisilowezekana chini ya jua.

Umalaya uko damuni nasikitika kamwe siwezi kuacha.
 
HUMU UNAJUAJE HUYU NI DEMU DUUU NAOMBA SOMO WAKUBWA HAHAHAHA
 
mkimuibukia ana screen shoot ananitumia... na tayari ameshanitumia wote waliomtaka humu nawafaham ntakuja tu kuwapa onyo muda si mrefu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom