Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

Hongera Bro.Gudume, tunafata nyayo zako mdogo mdogo(kama kapeace atanielewa), ila naona lugha imelala, nadhani leo uliamua kuwa darasa la kutufunda.
 
Back
Top Bottom