Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
KhaaaUzi bila picha hauonogi halafu
Sasa unataka picha gani lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KhaaaUzi bila picha hauonogi halafu
Hebu uje huku hii hali ya hewa ya dar sio rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]
Nakuja jamani na vile nimekuhamu nitumie tu hela ya uberHebu uje huku hii hali ya hewa sio rafiki
Haha nipe location nakufuata mwenyeweNakuja jamani na vile nimekuhamu nitumie tu hela ya uber
Inakua kamba ukiona hivyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf ukiangalia hawatajani majina
Si picha ya anaemsifia wakunyumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi hata ID yake na wenzie pia wakajaribu kama kweli sio muhuni au la.Khaaa
Sasa unataka picha gani lakini
Jamani kwahiyo huniamini unahisi naweza kukimbia na elf 20 kweliiiHaha nipe location nakufuata mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inakua kamba ukiona hivyo.
Si picha ya anaemsifia wakunyumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi hata ID yake na wenzie pia wakajaribu kama kweli sio muhuni au la.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anataka kuniharibia ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] achana nar mwaya wifi yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio hivyo nakufuata mwenyewe kwa usalama zaidiJamani kwahiyo huniamini unahisi naweza kukimbia na elf 20 kweliii
Kaka kasema kaziba masikio hasikilizi mtu. Keshaamua kuwa na cha mdeko wake hayo uliyofanya zamani hayamuhusu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anataka kuniharibia ndoa
Pambana usikubali vijana wakuharibie ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ukweli wenyewe hapa najiandaaa tu kufunga pingu za maisha alafu nimleteee na baby JrKaka kasema kaziba masikio hasikilizi mtu. Keshaamua kuwa na cha mdeko wake hayo uliyofanya zamani hayamuhusu.
We mwanaume ebu acha ubahili hivi utaweza nihonga kweli mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio hivyo nakufuata mwenyewe kwa usalama zaidi
Nimejiandaaa kisaikolojia na nina silaha za nyuklia kupigania penzi languuuuPambana usikubali vijana wakuharibie ndoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka nikuhonge nini?We mwanaume ebu acha ubahili hivi utaweza nihonga kweli mm
AsanteeeeNimejiandaaa kisaikolojia na nina silaha za nyuklia kupigania penzi languuuu
Ashikane pia kupata bwana si jambo dogoPambana usikubali vijana wakuharibie ndoa