Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

Nataka nichague siku maalum ya kumtangaza wa ubani wangu...
Warmly welcome kwenye ulimwengu wa kubebishana jf...... Am Eagerly waiting lol... ila halahala huchelewi kabadili mwelekeo wewe machaguo ni mengi kila leo waja na list mpya tehteh [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pia ujiandae kwa challenges humu watu tupo resi sijawahi ona


Cc Smart911
 
Aah mimi tena... Mtu akija moto atarudi amepoa. Akija na nguvu atarudi ameleghea... Kuweni tu resi... Hapa kwa huyu ndo moyo wangu wangu umefika kigoma mwisho wa reli.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…