wanaume wa zamani walikuaje?Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Aliekupa ww usafiri ndio huyo huyo aliemnyima mwengine tafuta cha kuongea hizo za kwako ni zarau maisha hatufananiNi aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
anatatizo la akili au atakuwa amezoea kuona walio fanikiwa tu hajui watu wako tofauti sana, sio kila anae vaa smart anakaziMkuu mbona mada zako zi kutunanga vidume tuu
[emoji3] [emoji3]Kama utaki kushare lipaki upande toyo mbona we mwenyewe umehogwa