Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

gari si lazma kwa kila mtu,nyumba si lazma kwa kila mtu, yote haya Mungu anatoa,na kuchukua
 
Mbona kawaida tu, kupata kufaana, maemdeleo siku hizi hayaangalii gender au sex...
 
we kila kitu mapenz na kila mada dhidi ya wanaume? Mrudie muumba humu hutapata amani unayoitaka na ukiendelea kutegemea furaha yako kubwa itoke kwenye mapenz umekwisha. Means mkizinguana ghafla bin vuu anaondoka na furaha yako yote unabaki mtupu, matokeo ya ni kuhaha haha kama hv upate hata fraha kdg ikusaidie usijinyonge. Tafta vyanzo ving vya furaha ukitegemea kimoja tena kutoka kwa binadam matokeo yake ndo hayo. Lets say Wewe (Anna) unamtegemea (Juma) akupe furaha na (Juma) anamtegemea (Pili) ampe furaha ila na wewe, what do you expect from him against you? Lazma ule za uso na matokeo yake ni kua hopeless kama hvyo.pole dada
A comment of the year!!!kudos [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Unaweza kuta we ni demu, gari umenunuliwa, kazi umepewa bila vigezo, afu unaleta dharau nyingi!
 
Kuna demu mmoja wa kikenya eti huwa anawashangaa wanaume waliooa na wenye pete kwenye matatu, pia eti huwa anajiuliza wanawake wao kukubali kuolewa,.
 
Kwamba akisimama kuwapa lifti watoto au aliyemkusudia, wewe ambaye hukukusudiwa usijipeleke..unatia aibu!
kwa hyo hilo ndio swala la kusema....sikia nkwambie sisi ambao hatuna magari uzoefu wetu gari likisimama kituoni tunajua mtu anachukua abiria mpaka usogee ndio aseme anachukua wanafunzi tu.
 
Aliyekupa wewe kwenye sahani ndiye aliyemnyima huyo mwanaume wa 30+ kwenye Kijiko
Nalog off
 
Aliyekupa wewe kwenye sahani ndiye aliyemnyima huyo mwanaume wa 30+ kwenye Kijiko
Nalog off
 
Back
Top Bottom