Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
gari si lazma kwa kila mtu,nyumba si lazma kwa kila mtu, yote haya Mungu anatoa,na kuchukua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hyo kuna kitu anatafuta itakuwa.....Mbona mnamshambulia mtoa mada? Nunueni magari banaaa...hata baiskeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni ujumbe tu mnapewahyo kuna kitu anatafuta itakuwa.....
Binti yangu, hapana shaka umepitwa na ule usemi usemao "usitukane mamba kabla hujavuka mto"
kwamba amenunua GARI au nini?Ni ujumbe tu mnapewa
A comment of the year!!!kudos [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]we kila kitu mapenz na kila mada dhidi ya wanaume? Mrudie muumba humu hutapata amani unayoitaka na ukiendelea kutegemea furaha yako kubwa itoke kwenye mapenz umekwisha. Means mkizinguana ghafla bin vuu anaondoka na furaha yako yote unabaki mtupu, matokeo ya ni kuhaha haha kama hv upate hata fraha kdg ikusaidie usijinyonge. Tafta vyanzo ving vya furaha ukitegemea kimoja tena kutoka kwa binadam matokeo yake ndo hayo. Lets say Wewe (Anna) unamtegemea (Juma) akupe furaha na (Juma) anamtegemea (Pili) ampe furaha ila na wewe, what do you expect from him against you? Lazma ule za uso na matokeo yake ni kua hopeless kama hvyo.pole dada
Unaweza kuta we ni demu, gari umenunuliwa, kazi umepewa bila vigezo, afu unaleta dharau nyingi!Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo hiloo mbio kudandia lift ya bure, 30+ hukoo really???? ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri lakini nimeshanga sana,sasa huku duniani unafanya nini??
Kwamba akisimama kuwapa lifti watoto au aliyemkusudia, wewe ambaye hukukusudiwa usijipeleke..unatia aibu!kwamba amenunua GARI au nini?
kwa hyo hilo ndio swala la kusema....sikia nkwambie sisi ambao hatuna magari uzoefu wetu gari likisimama kituoni tunajua mtu anachukua abiria mpaka usogee ndio aseme anachukua wanafunzi tu.Kwamba akisimama kuwapa lifti watoto au aliyemkusudia, wewe ambaye hukukusudiwa usijipeleke..unatia aibu!
Hahahaaa. Ila kuna watu wana uso mkavu bana.Hapo sasa mpaka anawapiga vikumbo na viwiko watoto, huko mbele watoto watakuwa
walimshangaa kweli huyo babu yao