Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

People are free to write anything they feel it's right to write. Wanaume mnaodandia lift za bure acheni kulialia, jifunzeni kupokea changamoto za maandishi kama haya.
 
Duuuuu magari sio kitu ndugu....

Hatujaja duniani ili kumiliki magari, jitahidi uwe msafi wa roho, roho ndio thamani ya utu..

Huo mwili unaolinga nao ni kasha tu lililobeba kitu cha thamani ndani yake,...

Leo hii ukifa huo mwili siku mbili tu unatoa harufu mbaya na nuru yote inapotea ndani ya muda mfupi...

Be humble
 
Wa kwako yukoje? Au huna?
 
Najiuliza siku akinunua ndege kama gwajima wote atatutoa taulo wanaume hehehehe nacheka kichaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…