Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

Inaonekana wanaume wanamtenda sana huyu dada, ndio maana ana hasira nao... Kila topic anawananga wanaume
Huyu dada ana tatizo alilokuwa nalo mwanamke wangu, ila nimemtuliza na hana makuu. Anahitaji msaada huyu na sio kashfa.
 
Tunakuwasha sana eeeeeh!!!! tangu ununue hicho kibito basi shida.
 
kawaida si ajabu ushawah kutoka nae na unatoka nae
 
Mungu shibidu ndugu yangu Leo ww kesho yeye dharau azijengi
 
Huyo mwanaume wa 30+ yupo duniani kwa ajili ya kukimbilia hizo lifti walizosimamishiwa wanafunzi...

Shida haina mwenyewe...


Cc: mahondaw
 
Mbona mnamshambulia mtoa mada? Nunueni magari banaaa...hata baiskeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio bure wewe utakuwa umeachika, handsome nipo hapa kukupunguzia stress.
 
Masikini akipata......... MBWATAAAA....! INAONEKANA HUKO KWA HUKAPA KWA AKILI YAKO BALI NI KWA MAJAALIWA.
 
Acha dharau wewe. Leo unalo kesho hauna
 
People are free to write anything they feel it's right to write. Wanaume mnaodandia lift za bure acheni kulialia, jifunzeni kupokea changamoto za maandishi kama haya.
Hakuna changamoto aliyoileta hapa mtoa mada. Hata hajui alichokiandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…