Siamini ninachokiona kwa wanaume wa kileo

People are free to write anything they feel it's right to write. Wanaume mnaodandia lift za bure acheni kulialia, jifunzeni kupokea changamoto za maandishi kama haya.
Cc hatujakataa ushauri wke ila ukifatilia threads zke utagundua hyu csta ana chuki sana na wanaume!
 
Mwanamama tunasubiri mrejesho wa baba mdogo wa Nancy alivyopiga Mtungo.
 
Ndio maana huwa nasema mwanamke akipata kuliko mwanaume ni mateso kwa upande wa mwanaume
Mwanamke ni bora asipate kabisa mali maana wana dharau sana wanaume wasio na mali
 
Ingekuwa ni mwanaume ameandika hivyo kuhusu wanawake na lift mngesema wanaume hawana huruma. Anyway hii post itanifanya nisiwape tena lift wanawake kwenye gari yangu
 
Hongera kwa kumiliki usafiri,kuna wengine tuna 30+wazima kabisa still hatujajaaliwa na nauli ya kwendea kazini saa nyingine mtihani na hapo nyuma tuna chain ya watu inatutegemea
Maisha hayafanani,mafanikio hayapimwi kwa umri ulioishi duniani,asante!
 
Huyu mtu nina wasi wasi nae, hayo maisha anayo ongelea siyo maisha yake halisi..,
 
Hahahaaa. Nimecheka kwa sauti.

Kama wapo basi wanahitaji ushauri nasaha sababu kiuhalisia sidhani kama ipo hiyo. Tena lifti. Mmhhh.
 
Duuh! Umeandika kwa hisia ya hali ya juu Kaka ake.

Mzowee tu kritika sababu sidhani kama huwa nyuzi zake zinauhalisia zaidi ya kutaka kuwasimamisha mishipa ya kichwa nyie wanaume wa jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…