maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Siamini na wewe wa mkoani unafeli wapi kwenda kumpa hiyo mimba! Basi nawe utakuwa huna tofauti na hao wa DarLakini pia siamin kama wanaume wa dar wameshindwa kumpa mimba miss wa 2008
Siamini kama hapo nimefeliLakini pia siamini kama kilimo kinaweza MTU
hapa umefeli nigga
JEMBE HALIMTUPI MTU.
Siamini kama pombe ndo yours first wifeSiamini kwamba pombe ina madhara
Siamini kama ni vizur kuingilia majukumu ya mwingineSiamini na wewe wa mkoani unafeli wapi kwenda kumpa hiyo mimba! Basi nawe utakuwa huna tofauti na hao wa Dar
Siamini kama kweli bado huamini ya kua mi siaminisiamini kama bado huamini
Siamini kama kweli bado huamini ya kua mi siamini
Siamini kama kweli na umri huo unataka uunganishwe jukwaa la wakubwa hata hao mods wakikusikiliza nitawashangaa sanaSiamini kama CUTE love aliipokea ile 7800
Siamini kama Liverpool anaeza chukua ubingwa msimu huu
Siamini kama uchaguzi wa mwaka huu utakua wa Uhuru na haki
Siamini sana kama kweli Kiranga haioni nguvu us Mungu
Lakini pia siamini kua mods wameshindwa kuniunganisha jukwaa la wakubwa
Kikubwa zaidi siamini kama kweli mapenzi ni pesa
Lakini pia siamini kama kilimo kinaweza mtoa MTU
Share kitu gani na we hukiamini
Amakweli sim zimerahisisha sana maisha ya humu ndani, na hawa ndio aina ya Gt wa kutegemewa skuizi
Siamini kama unaamini hivoSiamini kama kweli na umri huo unataka uunganishwe jukwaa la wakubwa hata hao mods wakikusikiliza nitawashangaa sana
siamini kama unawaza hivoAmakweli sim zimerahisisha sana maisha ya humu ndani, na hawa ndio aina ya Gt wa kutegemewa skuizi
Siamini kama bado huaminisiwezi kuamini
Siamini kama kweli huaminisiamini kama bado huamini