Siamini sana

Siamini sana

Siamini na wewe wa mkoani unafeli wapi kwenda kumpa hiyo mimba! Basi nawe utakuwa huna tofauti na hao wa Dar
Siamini kama mkiniletea mimi wa mikoani nitashindwaje kumpasia mimba fasta ya mapacha
 
Siamini kama nimeona tweet ya Marehem Daud Balal kule tweeter...tena ya juzi tu
 
Siamini kama CUTE love aliipokea ile 7800
Siamini kama Liverpool anaeza chukua ubingwa msimu huu
Siamini kama uchaguzi wa mwaka huu utakua wa Uhuru na haki
Siamini sana kama kweli Kiranga haioni nguvu us Mungu
Lakini pia siamini kua mods wameshindwa kuniunganisha jukwaa la wakubwa
Kikubwa zaidi siamini kama kweli mapenzi ni pesa
Lakini pia siamini kama kilimo kinaweza mtoa MTU

Share kitu gani na we hukiamini
Siamini katika kuamini, nataka kujua.
 
Back
Top Bottom