Siamini Simba walimaliza na alama 13 juu ya Al Ahly alama 8 na hawakujitapa hivi?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Simba walimaliza juu ya Al Ahly tena kwa kishindo lakini sikusikia haya makelele kama niliyokuwa nayasikia kwa uto au ndio kipofu kaona mwezi?

Hawa jamaa baada ya kuwafunga CRB goli 4 walijitapa eti watafika fainali, sasa sijui wangeongoza kundi mbele ya mabingwa wa Afrika wangepandwa na mizuka hadi wangetembea uchi?

 
Wamefuzu wakiwa na points 8 na magoli 3 mkononi ngojeni kesho sisi tutakua na points 11 na magoli zaidi ya 4 mkononi!!!
 
Pamoja na kuongoza kundi, lakini hakukuwa na faida yoyote uliyopata. Raha ya kuongoza kundi ni kuanza kucheza away na kupangiwa anayeshika nafasi ya pili. Lakini mkaaga mashindano
 
Pamoja na kuongoza kundi, lakini hakukuwa na faida yoyote uliyopata. Raha ya kuongoza kundi ni kuanza kucheza away na kupangiwa anayeshika nafasi ya pili. Lakini mkaaga mashindano
Aahaaaaa,

Nashukuru umemkaanga
 
Tuambie Kolo baada ya hapo aliishia wapi
 
Yaani timu inafuzu kwa points 8 tu hii ni aibu haswa kwa timu inayojinasibu kuwa bora points 8 ni bora hata makundi yenyewe nisivuke maana inaonyesha wazi umeenda kwa kubahatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…