Siamini Simba walimaliza na alama 13 juu ya Al Ahly alama 8 na hawakujitapa hivi?

Siamini Simba walimaliza na alama 13 juu ya Al Ahly alama 8 na hawakujitapa hivi?

Alizimia kwasababu haamini kama Yanga ingetoa dozi nzito hivyo kwa timu bungwa wa Algeria. Hakuna timu ya Tanzania iliyowahi kuifunga goli nne timu kutoka Algeria, Misri, Tunisia au Morocco?
Ligi ya mabingwa Afrika, club zote ni kubwa
 
Back
Top Bottom