Siamini Simba walimaliza na alama 13 juu ya Al Ahly alama 8 na hawakujitapa hivi?

Yaani timu inafuzu kwa points 8 tu hii ni aibu haswa kwa timu inayojinasibu kuwa bora points 8 ni bora hata makundi uenyewe nisivuke maana inaonyesha wazi umeenda kwa kubahatisha
Hivi Ivory coast alifuzu akiwa na point ngapi kwenye AFCON? Kumbe mashabiki wa Simba ni vihande kiasi hiki. Kufuzu ni kufuzu haijalishi unafuzu na point ngapi. Kubwa zaidi kwa Yanga ni kujipanga wavuke hatua ya robo fainali ili wacheze nusu. Msimu wa 2018/2019 Simba walipata point 9 pekee.
 
Yanga wamepata faida gani wanavyojitapa sasa hivi?
Kichaka cha robo fainali kimechomwa saivi mmekimbilia katika point, kwenye mpira ngazi ya makundi unachopongezwa ni kufuzu sio kufuzu kwa point ngapi hakuna tuzo za point katika mashindano ya CAF. Acheni kushabikia mpira ukubwani. Yanga haijajitapa ila nyie ndio mnaoangaika na Yanga kwa kuchukua rekodi za nyuma kulinganisha na za sasa. Yanga kafuzu tokea wiki iliyopita vipi nyie wazoefu wa CAF mmeshafuzu?
 
Kufyeka kichaka Cha robo kimewauma sana wanasimba
 
Kwa hiyo ile hadi watu wanazimia uwanjani ni kushangilia kufikia rekodi ya Simba? 😂😂😂
Simba kafika robo mara 4 lakini, so kazi bado mmnayo
 
Shirikisho kombe la looser,Yanga huku klabu bingwa sio shirikisho amfiki popote,Yanga wanashangilia point 8 kwenye group lao,rage ajengewe tu sanamu lake
 
ulikuwa na miaka mingapi mwaka huo baada ya kuongoza nn kilifuata?
 
Wanahitajika walimu wa historia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani timu inafuzu kwa points 8 tu hii ni aibu haswa kwa timu inayojinasibu kuwa bora points 8 ni bora hata makundi yenyewe nisivuke maana inaonyesha wazi umeenda kwa kubahatisha
Aishi miaka mingi mzee Rage
 
Mkuu labda unajisahaulisha maana walitamba sana na masimango kibao kwa Yanga
 
Kinachowauma ni Yanga kufuzu robo fainal na hawana tena cha kuringia
 
Akili mtu wangu.Ni wawili tu.Akili tu.Hata ukitembea majiani na kumuona chizi anachekacheka na kuongea peke yake ni vema ukapita zako uendelee na safari.
 
Walizimia uwanjani?
Alizimia kwasababu haamini kama Yanga ingetoa dozi nzito hivyo kwa timu bungwa wa Algeria. Hakuna timu ya Tanzania iliyowahi kuifunga goli nne timu kutoka Algeria, Misri, Tunisia au Morocco?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…