SHIVA MAINA
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 293
- 42
Sitaki kuamini kama sasa ni saa 12 jioni,, siamini kama tamisemi wameshindwa kutimiza ahadi,! Hivi Bwana Sagini kwa nini ulikurupuka na habari usiokua na uhakika nayo?...Watu tumesimamisha mikataba yetu sababu ya tamko lako......?. Any way.. VIJANA WENZANGU IWAPO WEEKEND HII NA MWEZI HUU APRIL UKIKATIKA BILA UTEKELEZAJI WA AHADI HIZI NINI TUFANYE...? PAMOJA TUNAWEZA