siamini

siamini

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
wakuu siamini kama waganga wote wa Tanzania hii pamoja na Mshana jr wameshindwa kuagua na kutambua MO alipo ili wachukue kitita cha billion moko
 
Teknlojia haiendani na uchawi mkuu!
kuagua ndio mwisho wa matatizo, ukishindwa kote ndo ndo unakimbilia ramri, koo sikushangai najua ukishindwa uko kote utasema ngoja nijaribu uku na jibu litapatikana
 
wakuu siamini kama waganga wote wa Tanzania hii pamoja na Mshana jr wameshindwa kuagua na kutambua MO alipo ili wachukue kitita cha billion moko
Hujui kwamba tumempata akiwa salama salimini na watekaji wakatimua mbio kali sana!?
 
wakuu siamini kama waganga wote wa Tanzania hii pamoja na Mshana jr wameshindwa kuagua na kutambua MO alipo ili wachukue kitita cha billion moko
ongezea na wachungaji wanao kiri kuongea na bwana GOD.
 
Back
Top Bottom