maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
wakuu siamini kama waganga wote wa Tanzania hii pamoja na Mshana jr wameshindwa kuagua na kutambua MO alipo ili wachukue kitita cha billion moko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuagua ndio mwisho wa matatizo, ukishindwa kote ndo ndo unakimbilia ramri, koo sikushangai najua ukishindwa uko kote utasema ngoja nijaribu uku na jibu litapatikanaTeknlojia haiendani na uchawi mkuu!
nasubir ifike billion tano ili niwaletee huyo more wenu aendelee kuwahudumia juice na maandazi nyie wanaume wa darwe huzitaki hizo billion??
Huyu atakuwa anasubiri Dau liongezeke. Mshana Jr yupo kimaslahi zaidi.
Hujui kwamba tumempata akiwa salama salimini na watekaji wakatimua mbio kali sana!?wakuu siamini kama waganga wote wa Tanzania hii pamoja na Mshana jr wameshindwa kuagua na kutambua MO alipo ili wachukue kitita cha billion moko
[emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] tayari tumeshamrudisha kwakwe buuree kabisaHuyu atakuwa anasubiri Dau liongezeke. Mshana Jr yupo kimaslahi zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23] tayari tumeshamrudisha kwakwe buuree kabisa
Sio Kwamba Mlishapokea chochote kwa Siri kutoka kwa Familia kweli nyie?[emoji23][emoji23][emoji23] tayari tumeshamrudisha kwakwe buuree kabisa
Hapana Mungu ni shahidi, shetani ni shuhudaSio Kwamba Mlishapokea chochote kwa Siri kutoka kwa Familia kweli nyie?
ongezea na wachungaji wanao kiri kuongea na bwana GOD.wakuu siamini kama waganga wote wa Tanzania hii pamoja na Mshana jr wameshindwa kuagua na kutambua MO alipo ili wachukue kitita cha billion moko