DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Wewe upo kundi gani hapo?Mh Mbowe popote ulipo chukua hi 5 πππ
Mimi sioni umuhimu wa kuendelea kuongea Kwa ajili Hawa watz
keyboard worries
Naomba we lamba Asali TU
Taifa la Tanzania haliwezi kukombolea maana Kuna watu they knows nothing
Wao ni Diamond na Alikiba, Simba Yanga , ngono na pombe 24/7
That All
Mimi nipo natafta AsaliWewe upo kundi gani hapo?
Mbavuπππ€£π€£π€£Niache kula tunda kimasihara eti nikaandamane
Naam, Kila Mtu na Ashinde Mechi zakeMh Mbowe popote ulipo chukua hi 5 [emoji109][emoji109][emoji109]