Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,408 Reaction score 12,100 Aug 29, 2026 #1 Wako wapi Hawa vijana? Hivi Hamisi kigwangala ameweza kulipa ule mkopo wa pikipiki alizotoa kwa wananchi Kisha akachinjwa? Yu wapi Januari makamba mtoto pendwa wa jakaya na mwandishi wake wa hotuba? Natamani niwaone kwa Sasa jaman
Wako wapi Hawa vijana? Hivi Hamisi kigwangala ameweza kulipa ule mkopo wa pikipiki alizotoa kwa wananchi Kisha akachinjwa? Yu wapi Januari makamba mtoto pendwa wa jakaya na mwandishi wake wa hotuba? Natamani niwaone kwa Sasa jaman
loose Nut JF-Expert Member Joined Dec 6, 2025 Posts 2,887 Reaction score 6,657 Aug 29, 2026 #2 britanicca mtu wangu please 🙏🏿 nitag ukishusha nondo. Imebakia robo saa tu ifike saa 8. Mods wanakoroma huku shusha vitu.
britanicca mtu wangu please 🙏🏿 nitag ukishusha nondo. Imebakia robo saa tu ifike saa 8. Mods wanakoroma huku shusha vitu.