Siasa imeingia Ajira mpya za walimu 2013 kwa Waziri kudanganya umma.

Siasa imeingia Ajira mpya za walimu 2013 kwa Waziri kudanganya umma.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
[h=2][/h]
Changa la macho Ajira za walimu; walimu wengi kila chuo wameachwa, UDOM takribani 1000, Mwenge takribani 300, Mount meru takribani wote,UDSM 200, SEKUCO takribani 400, SAUT takribani 600 bado naendelea kuleta habari zaidi vyuo vingine. Inaonekana idadi ya takribani elfu26 iliyotajwa na waziri imetimia jana kwenye website ya wizara, hivyo walimu wengi wamekosa ajira mwaka huu. Na kauli ya waziri alisema walimu wote lazima waajiriwe mwaka huu, sasa imekuwaje tena?
 
Tuliposema walimu wote wataajiriwa ilikuwa na maana kuwa walimu waanze kutafuta ajira katika sekta binafsi na kujiajiri na si kutegemea serikali ije kuwaajiri,Serikali haina uwezo wa kuwaajiri walimu wote katika nchi hii.
Utasikia kauli hii hivi karibuni toka kwa Waziri,naibu wake au hata katibu mkuu wa Wizara.
 
Kuna kila sababu ya kutafuta ajira binafsi,maana serikali ye2 imeoza na nafsi rhc za ualimu nk 2sizkmblie sana maana matokeo yake ndo haya.
 
Wawape bac hata kaz ya utendaji kwenye vijiji na kata, mana watendaji waliopo sasa ni hovyo kabisa...!
 
hili ndo tatizo la kuleta siasa kwenye elimu. jamani siasa na elimu kama mapenzi na shule..wanasiasa mtuachie elimu yetu mtawaua watu kwa pressure.:target:
 
imekuwa kama ilivyokuwa mazoea ya serikali inachosema na takwimu halisi ni vitu viwili tofauti
 
unajua walimu wa masomo adimu yaan physics,chemistry,maths,biologt etc ndio waliokuwa wakipewa nafasi kubwa kwa hiyi walioachwa watafute job tu
 
unajua walimu wa masomo adimu yaan physics,chemistry,maths,biologt etc ndio waliokuwa wakipewa nafasi kubwa kwa hiyi walioachwa watafute job tu

Tatizo vijana wa siku hiz wanaendekeza "usharobalo" katika kusoma, hawatak kusoma vitu vigumu, hata kiswahili wanayotaka yahitaj kusoma ati! Ona sasa mnavyoadhirika mitaani.
 
Dah polen sana maticha we2 ila msikonde mambo yatajiseti vuten subira tu au kujichanganya kwenye private schoolz kwan hii serikali ipo kwa ajili ya kudanganya raia ili wapewe kura then wanasahau kila kitu.
 
Tatizo vijana wa siku hiz wanaendekeza "usharobalo" katika kusoma, hawatak kusoma vitu vigumu, hata kiswahili wanayotaka yahitaj kusoma ati! Ona sasa mnavyoadhirika mitaani.

Acha utani kwenye mambo ya msingi,masomo ya chem,bios.phys,math ni magumu tatizo huenda hazipo shule nyingi zenye combination za sayansi.
 
Dah polen sana maticha we2 ila msikonde mambo yatajiseti vuten subira tu au kujichanganya kwenye private schoolz kwan hii serikali ipo kwa ajili ya kudanganya raia ili wapewe kura then wanasahau kila kitu.

Private kwa idadi kubwa namna hii na masomo yanayofanana na yasiyo na shida sana ya walimu hususani kwa private.kazi ipo!!!
 
Back
Top Bottom