Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
[h=2][/h]
Changa la macho Ajira za walimu; walimu wengi kila chuo wameachwa, UDOM takribani 1000, Mwenge takribani 300, Mount meru takribani wote,UDSM 200, SEKUCO takribani 400, SAUT takribani 600 bado naendelea kuleta habari zaidi vyuo vingine. Inaonekana idadi ya takribani elfu26 iliyotajwa na waziri imetimia jana kwenye website ya wizara, hivyo walimu wengi wamekosa ajira mwaka huu. Na kauli ya waziri alisema walimu wote lazima waajiriwe mwaka huu, sasa imekuwaje tena?