Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
unajua walimu wa masomo adimu yaan physics,chemistry,maths,biologt etc ndio waliokuwa wakipewa nafasi kubwa kwa hiyi walioachwa watafute job tu
Tatizo vijana wa siku hiz wanaendekeza "usharobalo" katika kusoma, hawatak kusoma vitu vigumu, hata kiswahili wanayotaka yahitaj kusoma ati! Ona sasa mnavyoadhirika mitaani.
Dah polen sana maticha we2 ila msikonde mambo yatajiseti vuten subira tu au kujichanganya kwenye private schoolz kwan hii serikali ipo kwa ajili ya kudanganya raia ili wapewe kura then wanasahau kila kitu.