mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Tunajua Serikali inataka kupata mapato lakini kuna huduma mhimu kama usafirishaji na nishati nashauri zisingeguswa!
Mfano Bolt miezi michache iliyopita mtu ukiwa na 20,000 unaweza kufanya safari 5 au 6 , kwa sasa 20,000 ni safari 1 tu na chenji inabaki kidogo ambayo huwezi itumia kwa safari nyingine.
Kuna mambo tujifunze nchi zingine wanafanyaje haya mambo tusifanye sisi ndio sisi na kujisifu kua tunaongeza mapato halafu tunapunguza ajira za watu wengi.
Miezi michache iliyopita dereva wa bolt alikua anapata safari kuanzia 6 hadi 10 au zaidi kwa siku , sasa hivi dereva wa bolt anaweza kukaa kijiweni siku nzima hajapata chochote.
Tarura sijui Latra wanashangilia kua wamefanikiwa kupandisha nauli za bolt kwa faida ya nani sasa ? Mmejaribu kufanya utafiti kujua zimeathiri vipi ajira za Vijana?
Kuna vitu tunafanya kwa mihemko sana na vinacost jamii nyie maofisini hamuezi ona maana mnatumia V8 na DFP