Godee jr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,836 Reaction score 2,536 Jun 11, 2024 #1 Nashukuru Mungu timu yetu imeshinda leo. Ombi langu ni kuwa wanasiasa wasijaribu kutia pua yao kwenye timu yetu. Huwa mnatugawa sana na sipendi hichi kitu. Naomba mambo yabaki kama yalivyokuwa leo. Tuwaamini wachezaji na makocha tafadhali.
Nashukuru Mungu timu yetu imeshinda leo. Ombi langu ni kuwa wanasiasa wasijaribu kutia pua yao kwenye timu yetu. Huwa mnatugawa sana na sipendi hichi kitu. Naomba mambo yabaki kama yalivyokuwa leo. Tuwaamini wachezaji na makocha tafadhali.