Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazarendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo?
Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo? Je wa Act atamshinda Baba levo?
Time will tel Niko pale
Waha hawa, waachwe tu warogane wenyewe kwa wenyewe kwani ni jadi yao kchezeana.Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazarendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo?
Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo? Je wa Act atamshinda Baba levo?
Time will tel Niko pale
In all ways wote hao wawili ni project ya chama chawalaMi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazarendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo?
Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo? Je wa Act atamshinda Baba levo?
Time will tel Niko pale
Ila huyu zito si alistaafu mambo ya siasa na kupewa sifa lukuki kwamba mfano wa kuigwa wa wanasiasa.
Leo vipi kugombea ubunge?
Ndio maana halisi ya msemo usimwamini mwanasiasa.