lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Wana jamvi saalam, ama baada ya saalam naomba tuyatafakari haya yafuatayo :
Kabla ya mechi ya Jana kuna watanzania walibeza sana kamati ya kuhamasisha ushindi kwa mdai kwamba imekaa kisiasa badala yake kamati hiyo ingekuwa ya wanafamila ya mpira wa miguu,na hasa wachezaji wa zamani na wadau.
Walifika mbali na kuilaumu tff kuwa wameufanya mchezo wa Jana kuwa wa kisiasa zaidi hasa kiccm kwa kumuweka makonda kuwa mwenyekiti
Timu yetu imeshinda kwa kishindo,tumeona mtu kama mbwigane alitokwa machozi.
Tumeona clouds tv,walikwenda nyumbani kwa mh rais kumrekodi akiangalia mechi hiyo.
WANAOJUA KUPAMBA WANASEMA NCHI IMESIMAMA
Nchi zetu tunahistoria nazo hasa za ukanda huu wa afrika mashariki ukiondoa Uganda ambayo umekuwa ikijitahidi kufika mbali.
Mwaka huu takriban nchi 4 zimefuzu fainali hizo.
1, Nchi hizi zilistahili kufuzu?
2, Ni uwekezaji(maandalizi) ndiyo yamefanikisha kufuzu?
3, Je uwekezaji uliofanyika utazipeleka mbele zaidi au ni moto wa mabua?
4, mfano Tanzania ,tuendelee kuzalisha wachezaji wa kulipwa kwenye nchi mbalimbali bila ya kuwekeza kwenye timu ya vijana na kupata timu ya taifa iliyo bora?
5,Kama ninavyoijua timu ya taifa ya Uganda,tulistahili kuifunga idadi ile ya magoli,au kwakuwa wao walikwisha fuzu?
MWISMI TFF IACHE KUSHIRIKISHA WANASIASA KWENYE MICHEZO, WATAIGAWA NCHI MWISHO WA SIKU ITAKOSEKANA SAPOTI YA KUTOSHA.
Sent using Jamii Forums mobile app