Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
vilabu vyetu vilabu vilikuwa vinaongozwa na watu wasio na maono!Mbona 1980 zilifuzu timu nane tu tukaenda Nigeria...wachezaji wa zamani walikuwa wanalewa sifa hapa nyumbani..mtu kama Lunyamila au Gaga walishindwa vipi kucheza Ulaya