Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

Sasa shida ni nini watu kuexpress hisia zao? Kwani Palestina hawastahili kusemewa? Wangesema Hamas sawa ingekuwa issue
Nenda kasome sheria za soka za FIFA na CAF ndio utanielewa.
Milengo ya kisiasa kwenye soka huwa hairuhusiwi.
Kila mtu ana hisia zake, sasa kila mtu akaruhusiwa kuweka hisia zake uwanjani hali itakuwaje?
 
Wee dogo kwanin usijishikilie!?
 
Free Palestine ndio udini.????? Kwani Palestine WA anakaa waislamu peke Yao.???

Ila free Ukraine ilikuwa sio udini.???

Kuna watanzania hawa hawana akili za kufikiria hata kidogo ,wao kilichopo mbele Yao ndio wanakiamini.
Nadhani wewe hujielewi.
Umekariri sana.
Unadhani kila mtu ni mdini?
Fikiria mbali zaidi.
Hizi siasa za Israel na Palestina zikiingia michezoni nini kitafuata?

Waza mashabiki wa Simba waende kule Misri kwenye mechi ya marudiano halafu waibuke uwanjani na bango kubwa la kuunga mkono taifa la Israel. Nini kitatokea?
 
Nenda kasome sheria za soka za FIFA na CAF ndio utanielewa.
Milengo ya kisiasa kwenye soka huwa hairuhusiwi.
Kila mtu ana hisia zake, sasa kila mtu akaruhusiwa kuweka hisia zake uwanjani hali itakuwaje?
Weka hapa hiyo sheria inayokataza ya FIFA tuone mbona ulaya kwenye mechi mabango yanawekwa kila siku kuwaunga mkono palestina sijasikia hiyo sheria.
 
Matajili wakitanzania wajinga sana hawajui kua si vizuli mfanya biashala kuonyesha ushabiki wakisiasa kwani huweza kuathili biashara zako. Mwingine atakaekuja kuhalibikiwa biashala zake huko mbele ni Diamond platnumz na kawasafi kake kaanza kukafanya kama Chanel ten ya CCM. Ndio maana taasisi kubwa za kibiashara hua zinakua na washauli wakibiashara.
 
Sheria zifuatwe.

Serikali iidhibu TFA na pia awaadhibu Azam TV kwa faini kama zile za TCRA kwa mitandao ya simu wanapokiuka sheria ba kanuni.

FIFA iwaadhibu TFA/Tanzania kwa kanuni zake.

Watu binafsi waliohusika na hiyo mipango yote viadhibiwe vikali kwa kuichafua nchi, kwa kupeleka siasa kwenye michezo.
 
Watu wameonesha hisia zao tatizo Nini? Mtoa madam Acha woga wazungu wasitawale fikra zako kijana
Wewe ni mjinga.

Kila kitu kina mahali pake na taratibu zako. Sheria za soka haziruhusu soka kutumika kwenye mambo yasiyohusiana na soka.

Waandamane huko barabarani, siyo kwenye soka.
 
AZAM ni wadini sana, nshasema AZAM hawana ETHICS za habari. Matangazo yao yapo kidini zaidi na sijajua kwanini Wasirivoke leseni yao ya matangazo kutoka kuwa chombo cha habari cha kijamii SECULAR na kuwa cha kidini non SECULAR.
Ndiyo maana nimebakia na DSTV.
 
AZAM ni wadini sana, nshasema AZAM hawana ETHICS za habari. Matangazo yao yapo kidini zaidi na sijajua kwanini Wasirivoke leseni yao ya matangazo kutoka kuwa chombo cha habari cha kijamii SECULAR na kuwa cha kidini non SECULAR.
Azam ni wadini Mno,, Mpaka Kwenye KAZI Zao,, Warabu Udini Ni Tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…