Usiwe unaandika bila kusoma na kuelewa hoja. Soma tena, ukiekewa, najua utaondoa hii comment yako.Sasa shida ni nini watu kuexpress hisia zao? Kwani Palestina hawastahili kusemewa? Wangesema Hamas sawa ingekuwa issue
Hivi umemuelewa mtoa hoja lakini?Free Palestine ndio udini.????? Kwani Palestine WA anakaa waislamu peke Yao.???
Ila free Ukraine ilikuwa sio udini.???
Kuna watanzania hawa hawana akili za kufikiria hata kidogo ,wao kilichopo mbele Yao ndio wanakiamini.
Kumbe wajinga mpo wengi kiasi hiki?Umejitahidi sana kuandika lakini kwa hali ilivyo huko Gaza yalipaswa kuwepo mabango mengi zaidi.
Israel ni magaidi kama magaidi wengine.
Naniliu siyo GaidiBango lilikuwa na maneno gani?
Acha kukaza fuzuNadhani wewe hujielewi.
Umekariri sana.
Unadhani kila mtu ni mdini?
Fikiria mbali zaidi.
Hizi siasa za Israel na Palestina zikiingia michezoni nini kitafuata?
Waza mashabiki wa Simba waende kule Misri kwenye mechi ya marudiano halafu waibuke uwanjani na bango kubwa la kuunga mkono taifa la Israel. Nini kitatokea?
Kwa akili yako hiyo Hamas walikuwa sahihi kuingia Izrael na kuuwa watu holela!Umejitahidi sana kuandika lakini kwa hali ilivyo huko Gaza yalipaswa kuwepo mabango mengi zaidi.
Israel ni magaidi kama magaidi wengine.
Sasa mbona Chawa huwa wanaingia na mabango yenye agenda za kisiasa na hampigi kelele?Kumbe wajinga mpo wengi kiasi hiki?
Andaa hata mabango milioni lakini usiyapeleke kwenye viwanja vya michezo. Siyo mahali pake, na taratibu za mpira zimepiga marufuku soka kutumika kwa mlengo tofauti.
Wapalestina wawalaumu Hamas kwa yote wanayoyapitia.Bango tu inakuwa nongwa waacheni waweke mabango yao israili anazidi kuondoa roho za wapalestina huko
Kinachozuiliwa siyo wanasiasa kushiriki shughuli za soka, bali kuligeuza soka kuwa uwanja wa siasa.Sasa mbona Chawa huwa wanaingia na mabango yenye agenda za kisiasa na hampigi kelele?
Mbona HELA za " Magoli ya Wanasiasa" mnazipokea?
Azam Wako sahihi kabisa [emoji3][emoji3]
TCRA wanapambana na VPN jamani nji ii!!!!AZAM ni wadini sana, nshasema AZAM hawana ETHICS za habari. Matangazo yao yapo kidini zaidi na sijajua kwanini Wasirivoke leseni yao ya matangazo kutoka kuwa chombo cha habari cha kijamii SECULAR na kuwa cha kidini non SECULAR.
Sisi tuliopigania Uhuru tuliitumia Dar Young Africans katika harakati zetuKinachozuiliwa siyo wanasiasa kushiriki shughuli za soka, bali kuligeuza soka kuwa uwanja wa siasa.
Comments reservedKilichotokea jana kwenye ufunguzi wa mashindano ya African Football League kwenye mechi kati ya Simba na Al Ahly kupitia Azam Tv ambapo kwa sekunde kadhaa kimakusudi walionyesha bango la mashabiki lenye maandishi yenye mlengo wa kushabikia siasa za mashariki ya kati (kifupi bango lile lilikuwa na maandishi ya kiingereza likipeleka ujumbe wa kuunga mkono harakati za taifa la Palestina), kitendo kile kilikuwa ni kitendo cha aibu na fedheha kubwa kuonekana michezoni kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye TV. Wadau kadhaa duniani waliofuatilia matangazo yale wameonyesha kusononeshwa na namna Tanzania kupitia Azam Media nk walivyoamua kimakusudi kushafua taswira nzima ya matangazo ya mpira wa Afrika.
Kwa kifupi sana kwa sheria za soka za FIFA na CAF lile lilikuwa ni kosa, na kama litashikiwa bango huenda Azam TV na mamlaka za soka hapa Tanzania zikajikuta matatani.
Kimantiki tukio lile lilipangwa (kwa waliokuwepo uwanjani hususani jukwaa lile wanaelewa vizuri) na kuratibiwa kikamilifu huku Azam media ikihusika kwa 100%. Na hapa nitachambua kwa kina;
1. Bango lile lilikuwa kubwa, pana, refu na maridadi. Hivyo waandaji walikuwa ni watu waliojipanga vizuri.
2. Bango lile liliingizwa uwanjani bila usumbufu wowote na liliendelea kuwepo uwanjani kwa uhuru karibu muda wote wa mchezo. Hii inaashiria mamlaka za soka na usalama hapa Tanzania zilibariki tukio lile kwa 100%.
4. Bango lile liliandikwa kwa kiingereza, lengo likiwa kufikisha ujumbe kimataifa (wahusika wakijua 100% Azam Tv watarusha lile tukio!)
5. Bango lile lilikuwa limeshikiliwa kwa ujasiri na mashabiki wengi wa Al ahly (wamisri) na wachache wa simba (watanzania). Hii inaashiria ushirikishi wa pamoja.
6. Video zinaonyesha walioshirikia lile bango wakiwa standby kuchukuliwa video na Azam Tv, na wengine wakikimbilia kulifikia bango ili video inayochukuliwa iwaonyeshe. Hii inaashiria wapiga picha wa Azam walikuwa 100% attention&concious kuhakikisha ujumbe unafika.
7. Live coverage ya tukio ilikaa kwa sekunde kadhaa hewani ili kila mtazamaji aone, lakini pia kuna namna coverage ilihamia kwenye kitu kingine na haraka ikarejea kwenye tukio lile lile. Hii inaashiria umakusudi wa 100% tukio lile liende hewani.
8. Watangazaji wa Azam Tv hawakusema chochote (walikaa kimya) kama vile hawaelewi chochote wakati tukio lile likiwa hewani, huenda kwa kuwa walihisi ukakasi, hawakuandaliwa au kuogopa kitu.
9. Azam media wamekuwa na mtindo wa kurudia kuonyesha video za mechi iliyochezwa hapo kabla, hivyo wangeweza kuhariri kwa kuondoa vipande vya video vyenye utata, lakini kwa tukio la jana wameliacha vile vile mpaka sasa. Nadhani lengo ni ujumbe ufike vilivyo.
10. Mpaka sasa hivi Azam media hawajaomba radhi wala kutaka kutolea ufafanuzi tukio lile kuruka kwenye matangazo yao. Hii kuashiria Azam media wanaamini walikuwa sahihi na walijiandaa kurusha tukio lile kikamilifu.
Hakuna sheria inayokataza kubeba bango la kupinga kitu fulani na mimi nikuulize swali fikiria mashabiki wa simba waende misri na bango la kuunga mkono wapalastine. Humanity has no BoundaryFikiria Mashabiki wa Simba waende Misri na Bango la Kuisifu Izrael wakalioneshe uwanjani..
we fikiria tuu...
endelea kufikiria vizuri...
ndio maaana sheria zikawekwa kupiga marufuku hisia za kisiasa michezoni.
Nyingi tu labda wewe utakua si mfuatiliaji wa geo politics.weka kipande chochote cha mechi iliyorushwa official ikiyaonesha hayo mabango.
BiashalaMatajili wakitanzania wajinga sana hawajui kua si vizuli mfanya biashala kuonyesha ushabiki wakisiasa kwani huweza kuathili biashara zako. Mwingine atakaekuja kuhalibikiwa biashala zake huko mbele ni Diamond platnumz na kawasafi kake kaanza kukafanya kama Chanel ten ya CCM. Ndio maana taasisi kubwa za kibiashara hua zinakua na washauli wakibiashara.
Ila mkuu una wahusudu sana wazungu kwa kila hali.Ndiyo maana nimebakia na DSTV.