Siasa; Mzee mseveni anataka Kufia IKULU?

M7 kaua na kuumiza sana watu, anaogopa kuachia madaraka. Anaona dhahiri atafanyiwa kama alivyofanyia wengine.

Hata huyu Samuya muwahini sasa, huwezi kuua watu zaidi ya 10k halafu ukaondoka madarakani kizembe tu
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…