Siasa na madaraka!

Siasa na madaraka!

MWAKIGOBE

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
65
Reaction score
3
"mimi ni mwanazuoni, sio mwanasiasa, ila ninapenda siasa. Wanasiasa hawapendi siasa ila wanapenda madaraka!" maneno ya mwanazuoni mmoja katika kongamano la kwanza la katiba udsm.

mimi nataka ukweli kutoka kwenu, ni kweli wanasiasa hawapendi siasa na wanapenda madaraka?
 
Back
Top Bottom