Siasa na michezo zinatugawa Watanzania kuishabikia Taifa Stars

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Naona jana baada ya Taifa Stars kuongoza basi vikaanza kauli mbiu ya hapa kazi tu. Mara mechi za nyuma January makamba aliruhusu washabiki waingie bure tena ikiwa ni wakati wa kampeni, mara ushangiliaji wa mabadiliko hivi nini.

Naomba kama siasa zilishatugawa michezo ituunganishe. TFF watafute moto wa kuishangilia taifa stars ambao haushabikii chama chochote cha siasa.

Binafsi jana nilifurahi sana baada ya aljeria kusawazisha kwani kelele za hapa kazi tu ukumbini ziliniboa.
Hapo ni mimi tu na sina hakika hao wachezaji na uongozi wa timu wote ni wapenzi wa huo moto au wengine ni wanamabadiliko?
tuache siasa na mpira.
 
Ifikie kipind tukubali uchaguzi na siasa vimeisha na tuviweke pembeni, na walioshinda wameshinda hata km wameshinda kimagumashi maana hamna namna tena, ndio tutakaokuwa nao ndani ya miaka 5, kauli mbiu yao ndio imeshika hatamu, hakuna namna tuache maisha yaendelee tufanye tufanye kazi #Hapa kazi tu
 
Huwezi kuniimbisha ukasuku wa hapa kazi tu wakati hata kibaruwa sina bwegge wewe.
 
We si ---- ndio maana unategeme uajiriwe, jiajiri mwenyewe acha kuwa zumbukuku
Hapa kazi tu
 
Taratibu mkuu,ila hawa jamaa wanaboa sana na hiyo kauli mbiu yao waso ni siasa kila sehemu.

Ni kweli wanaboa, hata ukijaribu kufatilia post na comments zangu hapa jf sijawahi kuwa shabiki wa ccm lkn ndio hakuna namna, hatuwez kukalia siasa kila siku, siasa tuwaachie wanasiasa maana wao wanaingiza hela kupitia siasa, ukikaa kuumia kwa hii kaulimbiu utaumia had miaka mitano iishe
Piga kazi ingiza hela maisha yaendelee, tutakutana tena 2020
 

Hapa kazi kama hiyo ya kwenda sare? au ni ile ya Muhimbili kutengeneza mashine moja huku wagonjwa bado wanalazwa chini na hakuna dawa. Kazi tu bado mpaka pale tutakapofikia hatua ya kuwafunga Algeria nyumbani kwao.
 
Hapa kazi kama hiyo ya kwenda sare? au ni ile ya Muhimbili kutengeneza mashine moja huku wagonjwa bado wanalazwa chini na hakuna dawa. Kazi tu bado mpaka pale tutakapofikia hatua ya kuwafunga Algeria nyumbani kwao.

Km ingekuwa imeshinda ukawa, kauli ya mabadiliko ingewachefua upande mwingine so hii ni vice versa,we have to accept and live with it!
We ukifanya linalotakiwa kwenye maisha na mwingne hvyo hvyo maisha yanasonga, haya maisha ni mafupi mno, jaribu kuangalia umewapoteza watu wangapi unaowafaham miez mitatu iliyopita, utagundua unatakiwa ufanye unachotakiwa kufanya ss hvi na sio kukaa kulalama kwa maumivu ya wote
Fanya kazi uipeleke familia yako na ww mwenyewe mbele
 
Heri wametoa sare na wakienda kwao watapigwa tu wapigweeeeeeeeeee tuheshimiane maana upuuz tu ndio mtasema vizuri hapa kazitu
 
Jana nilifurahi zilivorudi,maana vimaneno vya kikuda vilikuwa vingi sn.Ngoja wakawa-bayarn munich kwao mbaafu,
 
huwezi kuniambia uchaguzi umeisha wakati rais wa zenji simjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…