William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Naona jana baada ya Taifa Stars kuongoza basi vikaanza kauli mbiu ya hapa kazi tu. Mara mechi za nyuma January makamba aliruhusu washabiki waingie bure tena ikiwa ni wakati wa kampeni, mara ushangiliaji wa mabadiliko hivi nini.
Naomba kama siasa zilishatugawa michezo ituunganishe. TFF watafute moto wa kuishangilia taifa stars ambao haushabikii chama chochote cha siasa.
Binafsi jana nilifurahi sana baada ya aljeria kusawazisha kwani kelele za hapa kazi tu ukumbini ziliniboa.
Hapo ni mimi tu na sina hakika hao wachezaji na uongozi wa timu wote ni wapenzi wa huo moto au wengine ni wanamabadiliko?
tuache siasa na mpira.