Siasa na michezo zinatugawa Watanzania kuishabikia Taifa Stars

Ifikie kipind tukubali uchaguzi na siasa vimeisha na tuviweke pembeni, na walioshinda wameshinda hata km wameshinda kimagumashi maana hamna namna tena, ndio tutakaokuwa nao ndani ya miaka 5, kauli mbiu yao ndio imeshika hatamu, hakuna namna tuache maisha yaendelee tufanye tufanye kazi #Hapa kazi tu

Haya tumetafunwa 7-0 hapa kazi tu
 
Ifikie kipind tukubali uchaguzi na siasa vimeisha na tuviweke pembeni, na walioshinda wameshinda hata km wameshinda kimagumashi maana hamna namna tena, ndio tutakaokuwa nao ndani ya miaka 5, kauli mbiu yao ndio imeshika hatamu, hakuna namna tuache maisha yaendelee tufanye tufanye kazi #Hapa kazi tu
Unajua mkuu, hili limeshakuwa tatizo, na ndio tayari taifa stars imeshaonekana ni ya ccm, kwani wakulaumiwa ni tff, kama una kumbukumbu nzuri kipindi cha kampeni captain wa starz akionekana akimpigia debe magufuri, na badaye tff wakajifanya kama vile wamelikemea, baada ya muda tena hao hao tff, walitaka kumualika mgombea wa ccm, kuwa mgeni rasmi wa mechi moja ya cecafa!! Wadau wakapiga kelele wakaona aibu. Tukubali tukatae siasa zimeshaingia kwenye timu yetu ya taifa, na ndio maana kila mtandao unaopita utakuta watu wanashangilia, kisa ni ccm imefungwa. Na wanamuita JECHA, akafanye yake, tena
 
Mwisho wa siku wanaopiga mpira uwanjani ni wachezaji

Hata kama tungepewa ruksa ya kuangakia mechi kutokea angani taifa stars ni wale wald wafungwaji

Waanze kuwekeza na kuwalipa wanachostahili tutaona mabadiliko.
 
Unajua mkuu, hili limeshakuwa tatizo, na ndio tayari taifa stars imeshaonekana ni ya ccm, kwani wakulaumiwa ni tff, kama una kumbukumbu nzuri kipindi cha kampeni captain wa starz akionekana akimpigia debe magufuri, na badaye tff wakajifanya kama vile wamelikemea, baada ya muda tena hao hao tff, walitaka kumualika mgombea wa ccm, kuwa mgeni rasmi wa mechi moja ya cecafa!! Wadau wakapiga kelele wakaona aibu. Tukubali tukatae siasa zimeshaingia kwenye timu yetu ya taifa, na ndio maana kila mtandao unaopita utakuta watu wanashangilia, kisa ni ccm imefungwa. Na wanamuita JECHA, akafanye yake, tena

Kiongozi, umeelezea vizur na ninekuelewa vizuri sana tu
 
Back
Top Bottom