Siasa na utajiri

Siasa na utajiri

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Mo, Lowassa, Rostam wote waliingia kwenye siasa kulinda uwekezaji wao na mapenzi ya vyama ni fake. Ndiyo maana wameingia na kutoka. Hata Lowassa iko siku atatoka.

Ukiangalia vizuri marafiki zao wa kweli sio makada na vyama bali watu. Chini chini Mbowe ni rafiki wa wote hao kwasababu ya biashara na mentality zao bila kujali siasa.
 
Kishundu ndo umemaliza?
 
Aisee nn hii mbna km unafanya astra projection..rewind 🤔🤔
 
Back
Top Bottom