Siasa ni mchezo mchafu, Milioni 5 tu zinafanya aongelewe kila mechi

Siasa ni mchezo mchafu, Milioni 5 tu zinafanya aongelewe kila mechi

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Wanasiasa ni watu wabaya sana, wakitaka kukufadhili kitu bora ukatae, ni fursa ya kuwatangaza kisiasa hiyo.

Yaani mama akaona atazungumziwaje kwenye soka. Akajifanya ananunua kila goli, sasa imekuwa too much kwenye kila radio kila kiongozi, fedha za mama, fedha za mama!
 
Mchezo mchafu??? Hiyo nayo unaita mchezo mchafu
Kuna michezo michafu hata haiandikiki bwamdogo
 
Back
Top Bottom